a
Za 18:17
;
1Tim 6:6
;
Mit 16:8
b
Mit 17:1
;
Mhu 4:6
Proverbs 15:16-17
16
a
Afadhali kuwa na kidogo pamoja na kumcha
Bwana
,
kuliko mali nyingi pamoja na ghasia.
17
b
Afadhali chakula cha mboga mahali palipo na upendo
kuliko nyama ya ndama iliyonona pamoja na chuki.
Copyright information for
SwhNEN